Mwongozo
Jinsi ya kuweka subtitles kwenye video kwa Kiswahili au Kiingereza
Watu wengi wanatazama video bila sauti. AI inasikiliza video yako na kuandika subtitles pamoja na muda wake - kwa Kiswahili, Kiingereza na lugha nyingine.
-
1
Fungua zana ya subtitles
Bonyeza kitufe hapa chini, au chagua Subtitles kwenye menyu.
-
2
Chagua video yako
MP4, MOV, WEBM au MKV hadi dakika 20 - au rekodi ya sauti, upate faili la SRT.
-
3
Chagua lugha
Chagua lugha inayoongewa kwenye video, kisha mtindo wa subtitles.
-
4
Tengeneza subtitles
Bonyeza "Tengeneza subtitles". AI inasikiliza na kuandika kila mstari pamoja na muda wake.
-
5
Kagua na hifadhi
Rekebisha mstari wowote uliokosewa, kisha weka subtitles kwenye video, au zisave kama faili la SRT.
Fungua zana ya subtitles
Bure · inafanya kazi kwenye simu yako · faili lako halitumwi popote
Vidokezo
- Sauti inayosikika vizuri na muziki wa chini vinaleta subtitles bora zaidi.
- Faili la SRT linafanya kazi YouTube na Facebook. Subtitles zilizowekwa kwenye video zinaonekana kila mahali, hata WhatsApp na TikTok.
Maswali
Je, video yangu inatumwa mtandaoni?
Hapana. AI inafanya kazi ndani ya browser yako, kwenye simu au kompyuta yako mwenyewe.
Je, naweza kurekebisha makosa?
Ndiyo. Kila mstari unaweza kuhaririwa kabla ya kuhifadhi.