QR inayohifadhi namba yako
Watu wanaiskani kwa kamera na jina, simu na barua pepe yako vinaingia moja kwa moja kwenye mawasiliano yao.
Andika taarifa zako, weka nembo yako, upate karatasi ya A4 yenye kadi 10 za kuchapisha stationery yoyote - pamoja na picha ya kutuma WhatsApp. QR code inahifadhi namba yako moja kwa moja kwenye simu.
Chapisha kwa "Actual size" (100%) kwenye karatasi nzito, kisha kata kufuata mistari ya kijivu. Kila kadi ni 85 × 55 mm.
Watu wanaiskani kwa kamera na jina, simu na barua pepe yako vinaingia moja kwa moja kwenye mawasiliano yao.
PDF ya A4 yenye kadi 10 na mistari myembamba ya kukata - na upande wa nyuma kwenye ukurasa wa 2 kwa kuchapisha pande mbili.
Tuma kadi yako kama picha kwenye chati na makundi, au iweke kwenye status yako.
Kila kitu kinatengenezwa kwenye browser yako - hakuna kinachopakiwa.
Kadi inachorwa kwenye browser yako - taarifa zako hazitoki kwenye kifaa chako.