Mwongozo
Jinsi ya kutoa sauti kwenye video (MP4 kuwa MP3)
Unataka wimbo kutoka kwenye video ya muziki, au sauti ya mahubiri au somo? Geuza video kuwa MP3 inayocheza kwenye simu yoyote - bure, kwenye browser yako.
-
1
Fungua MP4 kuwa MP3
Bonyeza kitufe hapa chini, au chagua Converter kisha MP4 kuwa MP3.
-
2
Chagua video
Chagua video kwenye simu au kompyuta yako. MP4, MOV, WEBM na video za aina nyingine zinakubali.
-
3
Chagua ubora
192 kbps ni bure na inasikika vizuri kwenye simu. 320 kbps ni ya Pro, kwa ubora wa juu kabisa.
-
4
Badilisha na hifadhi
Bonyeza kitufe cha kubadilisha, subiri kidogo, kisha save MP3.
Fungua MP4 kuwa MP3
Bure · inafanya kazi kwenye simu yako · faili lako halitumwi popote
Vidokezo
- Kwenye simu MP3 inaenda kwenye Downloads - ifungue kwa app yako ya muziki.
- Kwenye simu, bonyeza Shiriki pembeni ya MP3 kuituma moja kwa moja WhatsApp.
Maswali
Je, ni bure?
Ndiyo. MP3 za 192 kbps ni bure na bila kikomo.
Je, video yangu inatumwa mtandaoni?
Hapana. Sauti inatolewa ndani ya browser yako, kwenye simu au kompyuta yako mwenyewe.