Kutengeneza ankara na nukuu ya bei

Ankara na nukuu za bei kwa biashara yako, kwa dakika moja

Jaza bidhaa na bei zako, weka nembo yako na Lipa namba, na utume PDF safi kwenye WhatsApp. TSh, VAT 18%, Kiingereza au Kiswahili.

PDF A4 TSh na nyingine 0 ku-upload
Biashara yako (imehifadhiwa kwenye kifaa hiki)

Kila kitu kinabaki kwenye kifaa chako - hakuna kinachotumwa kwa PigaTools.

Imetengenezwa kwa biashara ndogo

See Pro features

Ankara, nukuu ya bei, risiti

Fomu moja kwa zote tatu - namba na jumla zinajumlishwa zenyewe.

Free

Tuma kwa WhatsApp

Hifadhi PDF au mtumie mteja moja kwa moja kutoka kwenye simu yako.

Free

Kiingereza au Kiswahili

PDF inaweza kuwa kwa Kiswahili kwa wateja wa hapa - "Ankara", "Nukuu", "Risiti".

Free

Inakumbuka duka lako

Maelezo ya biashara yako na namba inayofuata yanahifadhiwa kwenye kifaa hiki kwa wakati ujao.

Free

Itumie kwa biashara yako mwenyewe tu. Hakikisha bei, VAT na sheria za kodi na TRA - PigaTools inatengeneza hati tu.

Inafanya kazi kwenye browser yako Hakuna ku-upload Bure